
PICHA ya kwanza kushoto, wanachama wa simba waliohudhuria katika mkutano mkuu wa klabu hiyo wakihakiki kadi zao kabla ya kuingia katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Bwalo la Polisi Oystarbay ,ambapo pia kulifanyika uchaguzi wa viongozi wa ngazi za juu na wajumbe wa takaoiongoza timu hiyo ,Adan Rage aliibuka kidedea kwa kumshinda mpinzani wake mkuu Hasano.

picha ya pili chini ikiwaonyesha wagombea wa mwenyekiti na makamu kutoka kulia Adan Rage katika Hassano na kushoto Goefrey Kabouru
No comments:
Post a Comment