Askali wa usalama barabarani akiwa amepanda ndani ya gari la mafuta akiongea mazungumzo mazuri yakiutuuzima na dereva wa lori hilo. Mazungumzo hayo mazuri yalipo malizika alishuka kwenye gari na kuendelea kujenga Taifa. Mazungumzo hayo hakiendelea kulikuwa na msongamano wa magari mkubwa katika makutano ya barabara ya Mandela na Kilwa.
Rushwa rushwa rushwa jamani bongo tuwacheni hii.
ReplyDeleteThe blacker the berry the sweeter the juice, sasa hii ni gari ya mafuta mwanangu haiwezi kupita hivi hivi.
ReplyDeletemimi naona hakuna ushaidi wa rushwa hapa nadhani amemkama tu hakuna jengine.
ReplyDelete