Pages

May 1, 2010

Taifa Stars Walazimishwa Sare na Timu ya Taifa ya Rwanda.


Mshambuliaji wa timu ya Taifa Star Mrisho Ngassa akisawazishia timu yake kunako dakika ya 60 kipindi cha pili katika mchezo wa michuano ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani .



Beki wa taifa star Canavaro kulia akiwania kufunga goli huku kipa wa Rwanda na wachezaji wakiokoa hatari hiyo golini mwao.


Makepteni wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo huo uliopigwa katika uwanja wa taifa jijini dar es salaam
Kikosi cha timu ya taifa la Rwanda.



Kikosi cha Marcio Maximo kilichopambana na Rwanda.

1 comment: