Pages

May 23, 2010

SHindano la Mbuzi lafaana

Mkuu wa udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza(kulia) akimkabizi Aishwarya Naira wa Traince Asyla Attornys chatities (kushoto)hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1.8 baada ya mbuzi wao kuibuka mshindi katika mashindano ya kukimbiza mbuzi zilizofanyika oysterbay jana wa pilikutoka kulia ni Mtaalamu wa Mambo ya Habari wa Vodacom anayefuatia ni Ofisa Uthamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.
Mbio za mbuzi zikianza kutimua vumbi katika shindano lililofanyika jana oysterbay,

Wafanyakazi wa kampuni ya vodacom Tanzania wakiwa kazini jana katika mashindano ya Mbuzi.

No comments:

Post a Comment