Pages

May 25, 2010

Ngoma zikiwa zimeanikwa tayari kwa kutoa burudani , wasanii wa kundi la jika moya la shule ya sekondari ya Mtimbwani wakiwa tayari kwa kutumbuiza katika moja ya maonyesho mkoani Tanga.
Mama ambaye ni mremavu akiwa na beiskeri yake ya miguu mitatu huku akiwa amempakiza mwanae wakiwa katika tamasha la Vodacom lililofanyika katika mkoa wa Lindi ikiwa ni sehemu ya Vodacom kukabidhi msaada wa Komputa kwa shule za sekondanari katika mkoa huo.

AZA HII MPAKA LINI? Baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi wamekuwa katika wakati mgumu kwa kuandikia chini kutokana na ukosefu wa madawati, pamoja na kuwa serikali imekuwa na juhudi za mahususi ili kuhakikisha watoto hao wanasoma katika mazingila mazuri


No comments:

Post a Comment