Pages

May 15, 2010

MSHINDI WA VODACOM TUZO MILIONEA BENARD JOHN ALIVYOKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA SHILINGI MILIONI 100 KUTOKA KWA VODACOM TANZANIA

Mshindi wa Voda Tuzo milionea Benard John akikabidhiwa pesa tasilimu shilingi Milioni100 kutoka kwa mkuu wa uendeshaji wa Vodacom Tanzanaia Peter Correia katika Hafla iliyofanyika Mkoani Morogoro
Mshindi wa Vodacom Milionea Benard John mwenye umri wa miaka 27 akiwa amebeba mabrungutu ya pesa baada ya kukabidhiwa zawadi yake na kampuni ya vodacom Tanzania katika hafla iliyofanyika mjini Morogoro







No comments:

Post a Comment