Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Abama Inc Ahmed Magoma (kushoto)akimkabidhi hundi ya shilingi Milioni 5 Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo Ali Choki (kulia) katika mkutano na wandishi wa habari uliofanyika jana jioni katika ukumbi wa Triz Motal uliopo Mbezi Dar es Salaam, kampini ya INC nduyo inayodhamini utambulisho wa bendi huyo utakaofanyika katika ukumbi wa New Msasanu Club, pia katika onyesho hilo litaongozwa na mwanamuziki kutoka Congo Adophe Domugenzi ambaye alijiengua katika bendu ya Wenge BCBG na kuunda wenge yake ya wenge tonyatonya, kutakuwepo na wasnii wa bongo fleva Joseph Haule (Propesa JAY) Matonya,Hussein Machozi, kiingilio katika utambulisho huo wa bendi VIP itakuwa shilingi 15,000.kawaida 10,000.waliosimama kutoka (kushoto) ni wakurugenzi wasaidizi wa kampuni ya INC Nassor Magubika,Siraju Said,
May 21, 2010
BENDI YA EXTRA BONGO NEXT LEVEL KUTAMBULISHWA RASMI MEY 28 NEW MSASANI CLUB.
Mkurugenzi wa bendi ya Etra Bongo, Ali Choki akiwaongoza wanamuziki wa bendi yake katika onyesho kwa waandishi wa habari kwenye ukumbi wa TRIZ MOTEL, Africana, jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
















2 comments:
Finally, an issue that I am passionate about. I have looked for information of this caliber for the last several hours. Your site is greatly appreciated.
Valuable info. Lucky me I found your site by accident, I bookmarked it.
Post a Comment