
Mmoja wa wakazi wa eneo la Namanga eneo la Madukani mama ngonyani akijaribu kukwepa maji yaliyotoka na mvua iliyonjeshi hivi karibuni wakati alipokuwa akitafuta njisi ya kuingia nyumbani kwake.

Kama kuna mto inavyoonekana lakini siyo ni maji yaliyotokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni kutokana na ujenzi holela katika eneo la Namanga Msasani maji yanakosa sehemu ya kwenda na kujaa katika majumba ya watu ona picha mama anavyopata adha.

Hapa ni uninja tuu ukijifanya mchovu huwezi kuingia ndani mama huyo hutumia njia mbalimbali za kuweza kumfanya aweze kuingia katika nyumba yake .
No comments:
Post a Comment