Pages

May 10, 2010

Askari wa Usalama Barabarani Wakijadiliana Jambo Katika Kituo Cha Usafiri Mbagala, Huku Kukiwa na Msururu wa Foleni za Magari.


Pamoja na kuwepo kwa foleni kubwa katika eneo la kituo cha Mbagara Rangi Tatu askari wa usalama barabarani wameshindwa kabisa kuongoza magari eneo hilo na badala yake wamekuwa wakijikita zaidi kukagua magari ya wauza mikaa. Pichani ni askari wa usalama barabarani wakiongea bila wasiwasi huku msongamano wa magari ukiwa mkubwa.

No comments:

Post a Comment