Pages

April 5, 2010

Matanuzi ya Sikukuu ya Pasaka.

Wapenzi wa muziki wa dansi hapa nchini wakisakata pekechapekecha ya Bendi ya Akudo impact katika ukumbi wa Msasani Beach jijini Dar es Salaam. katika onyesho hilo ukumbi huo ulifulika hadi kujaa.

Ushindwe mwenyewe.

Kwa raha zake.

Hapa utapata kila utakacho mtazamani jicho lako tu ilimradi liwe na uvumilivu.

Mzuka.

No comments:

Post a Comment