Pages

April 22, 2010

Michael Jackson Wa Bongo.

MJ wa kuiga akiingia uwanjani kufanya vitu vyake. Mambo haya yalifanyika katika ukumbi wa Traveltine Magomeni.

MJ huyu akiwakaribishwa na Mzee Yusufu ukumbini.

MJ huyu akiiga mtindo maarufu wa MJ original ule wa kukamata stakabadi yake huku akicheza.

No comments:

Post a Comment