Pages

April 15, 2010

Haya Ndio Mambo ya Mlimani City.

Jamani watumieni na wengine, kaka angu kaibiwa laptop 2 Mlimani sasa hivi wamevunja kioo kama mnavyoona hapo. Nilikua na meeting nae leo tulikaa silver spoon kwa muda mrefu alipotoka ndo tayari.

No comments:

Post a Comment