Thomas Peter akiwa amembeba mwanae Maria Thomas mwenye umri wa miezi saba baada ya kupata sakramenti ya ubatizo katika kanisa katoliki la Mtakatifu Petro lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam siku ya jumatatu ya Pasaka.
Thomas Peter akiwa na mwanae huku mama yake mtoto kulia Matilda Alfonsi na msimamizi wa mtoto huyo Helen William wakifurahia katika picha baada ya kumalizika kwa ubatizo.
No comments:
Post a Comment