Mkuu wa mkoa na ,Mbunge wanapobadilishana mawazo ya kujenga Taifa
Kulia , Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam William Lukuvi akiteta jambo na Mbunge wa Igunga Ndugu Rostam Azizi wakati walipokutana katika uzinduzi wa Jalida la Vodacom katika sherehe zilizofanyika mwaka jana. katika hoteli ya Seacliff iliyopo Masaki.
No comments:
Post a Comment