Pages

March 26, 2010

Akudo Impact Wazee wa Masauti.

Baadhi ya umati wa mashabiki wa bendi ya muziki wa dansi ya Akudo wakipekecha pekecha katika ukumbi wa Msasani beach.

Waziri Kapuya kushoto akitokwa na jasho wakati alipokuwa akipekecha pekecha kulia ni mmoja wa ndugu yake.

Wazee wa masauti wakiwa kazini.

No comments:

Post a Comment