Pages

February 18, 2010

Mfungo Waanza Kwa Waumini wa Kikatoliki.

Waumini wa dini ya Kikristo wakipakwa majivu hapo jana kama ishara ya kuanza mfungo katika kanisa la Mtakatifu Petero Oysterbay hapa jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment