Pages

January 7, 2010

Vitu Tulivyokuwa Tunatumia

Hii ni kalamu ya Hero enzi hizo lazima uwe nayo ndio uingie darasani, na usipo ingia darasani pia ni noma lol.

Kalamu ya Hero haendi bila ya wino, zamani kulikuwa na watoto wengine wachoyo na wino wao.


No comments:

Post a Comment