Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

January 19, 2010

Mduara Unavyochezwa.

Angalia jinsi njemba huyu akicheza nyimbo ya Samaki alivyoweka vidole vyake.

Je hivi ndivyo mduara unavyochezwa na waume?

8 comments:

Anonymous said...

hapana mtu hapa, mwangalie vile jicho alivyolilegeza.

Anonymous said...

Hizi nyimbo ya mduara zitaleta balaa, haya ni mambo ya bata na kuku, duh.

Anonymous said...

Anafaa achunguzwe, huyu ashakuwa auntie

Anonymous said...

hizo njemba zote ni mipunga hizo,
watu wanapakua tu kama hawana akili nzuri!!!

Mzenji said...

Jamani hii ni staili ya kwenye wazanzibari sie, hatubebi vitu vizito, kwani mwataka tuonyeshe ngumi tukicheza, itakuwa dansi hiyo au vurugu? kwa raha zetu mtasema sana.

Mbongo said...

Nasikia mambo haya yapo sana Mombasa, mpaka watoto wa kiume hufungiwa ndani. yani wanachungwa kwenda mbele.

Anonymous said...

je wewe ni member

Anonymous said...

"MTOTO WA WATU" JAMANI MWACHENI