Pages

January 15, 2010

Kupata Kwa Jua Leo (Eclipse Of The Sun).

Leo asubuhi kama ulikuwa makini kulikuwa na Solar Eclipse. Upande wa juu wa Jua ulikuwa umezibwa na mwezi na mwanga ulikuwa umepungua kwa mbali.

No comments:

Post a Comment