Pwani Raha inawaasa kuwa watu wawe na amani katika kipindi hichi cha sikuku ya krismasi, tusipigane wala kugombana. Ni muhimu wakati huu kupendana na kusaidiana maana ndio misingi mema inayotakiwa kufuatwa. Mtu akikupiga kofi mgeuzie shavu njengine ila mwambie asikupige kwa ghadhabu sana, mtu akitaka ngumi, wewe nenda polisi usihangaike naye. Mtu akikutukana mfululizo, wewe ziba masikio au piga kelele ili usisikie matusi yake.
December 25, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

















No comments:
Post a Comment