Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

December 14, 2009

Banana Zorro Na B Band

Banana Zoro akiwa na Leah Mudi katika club ya Irish Pub hivi majuzi.


Zahir Zoro naye humpiga tafu mwanawe hapo Irish Pub kila Ijumaa.

Zahir Zoro akifanya vitu vyake pembeni ni mpiga solo guitar mahiri Tanzania Maneno Uvuruge.

Wadau wa Pwani Raha

No comments: