Mwanamuziki wa siku nyingi Hamza Kalala akimba pamoja na wanamuziki wanaounda bendi ya Mapacha wanne, kulia Jose Mala aliyekuwa FM, Kalala Junior aliyekuwa Twanga Pepeta na Hald Chokala aliyekuwa Twanga katika uzinduzi wa bendi yao uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Sterio Kinondoni hapa walikuwa wakiimba wimbo wa nimekusamehe lakini sitokusahau.
hongereni sana mapacha ... maendeleo ni kujituma..
ReplyDeleteMpo juu na kwa kuwa mmefanya kwa moyo mtafanikiwa.