
Mchambuzi wa mpira Shaff Dauda ,..Lady Jay Dee na mumewe Gadna Habash wakiwa uwanja wa taifa wakisubiri kuliona Kombe la Dunia, wapili kushoto jina lake halikupatika mara moja.

Wadau mbalimbali katika mmoja wa viongozi wa kampuni ya JWT, akiwa na viongozi wa Sony.

Wanafunzi wa shule za msingi za jijini DAR wakifuatilia kombe la dunia lililokuwa katika uwanja wa taifa.

Mwanamuziki AY alikuwapo na alitubuiza paoja na Chidi Benz.

Braa Braa Chid Benz akipagawisha katika uwanja wa taifa ikiwa ni sehemu ya kusherehekea ujio wa Kombe la Dunia.
No comments:
Post a Comment