Kutoka kulia ni meneja uhusiano wa kampuni ya bia ya Serengeti Teddy Mapunda akamakabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 35 Meneja wa Kisura Tanzania Grace Kilembe. Wapili kushoto ni meneja wa bia ya Serenegeti Nandi Muyomba, kisura wa Tanzania mwaka 2008 Emmy Melau na meneja mkuu na mawasiliano Winston Kagusa. Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za kampuni ya Serengeti iliyopo Chang'ombe Dar es Salaam.
Meneja wa shindano la Kisura wa Tanzania Grace Kilembe wapili kutoka kulia akielezea namna shindano linavyoendeshwa wakati alipokuwa katika mkutano na wandishi wa habari katika ofisi za Serengeti. Kulia Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Teddy Mapunda, kisura wa TANZANIA 2008 Emmy Melau na meneja wa bia ya Serengeti Nandi Muyombela.
















No comments:
Post a Comment