Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

November 3, 2009

Ngwasuma Moto Juu Wadau Wakutana

Mkurugenzi wa Benchmark Production Ritta akiwa na Rais wa bendi ya FM Acdemia A-lsadat Nyoshi wakati bendi hiyo ilivyotumpuiza Mikocheni vibopa wote wa bendi walikuwepo.


Hawa jamaa ni wadau wa hicho kichwaji walichoshika wanachokionyesha kwa mpiga picha.

Hawa mabosi wakiwa katika picha ya pamoja wakifurahia kinywaji cha Heineken kwa raha zao.

Hili ndilo jukwa lililotumika wakati wa kusherehekea kinywaji hicho.

No comments: