Msanii wa mahili hapa nchini Mohamed Halid aka TID akifanya onyesho katika ukumbi wa Billcanas jijini Dar es Salaam,kilajumapili usiku hufanya shoo katika ukumbi huo wote mnakaribishwa.
Hapo TID akikamua vilivyo stejini "live" tena kwenye key iliyo sahihi. More picture.....
No comments:
Post a Comment