Baadhi ya wanachama wa chama cha maalbino wakifuatilia kwa umakini hutuba ya Makaomu mkuu wa chuo cha Aridhi Profesa Idirisa Mshora wakati wa hafla ya kupewa msaada huo iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa chuo cha aridhi kulia ni Afisa habari wa chuo cha Aridhi.
Nawambia jamani huu ni mwanzo tu tutachangishana sana ili tuweze kuwasidia katika mapambono yanayowakabili nyie.Makamu Mkuu wa chuo cha Aridhi Prof.Idirisa Msho
ra akiongea jambao na viongozi wa chama cha Albino Tanzania (kushoto) katibu mkuu wa chama hicho Ziad Ali na kulia Mwenyekiti Ernest Kimaya baada ya kuwakabidhi msaada wa shilingi milioni 1,860,000. kwa ajiri ya matumizi ya chama.Makamu Mkuu wa chuo cha Aridhi Prof.Idirisa Mshora akiwakabidhi hudi yenye thamani ya shilingi Milioni 1,860,000. kwa viongozi wa chama cha Albino kulia anayepokea ni mwenyekiti wa chama Ernesti Kimaya na kulia ni katibu Ziada Ali Sembo wakipokea msaada huo wakati wa hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Aridhi.
















No comments:
Post a Comment