
Watoto wanahitaji kujifunza kwa vitendo hivy nijukumu letu sisi wazkuwa na utamaduni wa kuwapeleka watoto wetu katika sehemu muhimu za nchi yetu,pichani ni watoto wa shule ya msingi Mbagala wakiingia katika Nyumba ya Makumbusho ya Taifa kujioneawenyea kumb ukumbu za nchi yoa.

Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Chang'ombe wakipiga ngoma wakati wa maonyesho ya siku ya umoja wa Mataifa UN day iliyofanyika katika Viwan ja vya Karimjee Dar es Salaam

Bendera za nchi mbalimbali zikiwa katika mpangilio maalumu katika eneo la viwanja vya Karimjee wakati wa maonyesho ya UN day iliyofanyika Dar es Salaam,

Haya ndiyo maisha ya wabongo
No comments:
Post a Comment