baadhi ya wadau wakipiga pozi na mshindi wa Miss Bonge Vodacom Mtwara Theckla Lhenga wakati wa mashindano yaliyofanyika katika shule ya sekondari ya wasichana Mtwara leo.
Washiriki namba mbili namba tatu wa shindano la Miss Bonge Vodacom lililowashirikisha wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtwara Girls wakiwa katika pozi mbele ya halaiki ya wanafunzi wenzao na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Elasto Mbwilo hayupo pichani katika hafla ya kupokea msaada wa komputa 14 zenye thamani ya shilingi milioni 9.8 zilizotolewa na Vodacom Tanzania.
No comments:
Post a Comment