Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

October 30, 2009

Vodacom Yatoa Msaada Wa Komputa 14.

baadhi ya wadau wakipiga pozi na mshindi wa Miss Bonge Vodacom Mtwara Theckla Lhenga wakati wa mashindano yaliyofanyika katika shule ya sekondari ya wasichana Mtwara leo.

Washiriki namba mbili namba tatu wa shindano la Miss Bonge Vodacom lililowashirikisha wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtwara Girls wakiwa katika pozi mbele ya halaiki ya wanafunzi wenzao na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Elasto Mbwilo hayupo pichani katika hafla ya kupokea msaada wa komputa 14 zenye thamani ya shilingi milioni 9.8 zilizotolewa na Vodacom Tanzania.

Hii ni Hip Hop iliyotolewa na wasichana hao katika shule hiyo.

Hayaa ninatumia vodacom nipigieni sasa mnaniona jamani?

Meneja wa Vodacom Foundatiuon Yessaya Mwakifulefule(kushoto )Mkuu wa wilaya ya Mtwara Elaston Mbwilo katikati na Mwalimu Mkuu wa shule ya sekondari ya Mtwara girls Mary Kagao wakifuatilia michezo ya wanafunzi .

No comments: