
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro (kulia)akimkabidhi mshindi wa mbio za kilometa 10 kwa upande wa walemavu wanawake Helena Mwendesha(kushoto) zawadi yake ya shilingi laki tatu (300,000)na saa ya ukutani,katikati Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Stephen Kingu. Mashindano hayo yaliandaliwa na Vodacom Tanzania.

Vodacom Miss Tanzania Miriam Gerald(katikati)akimkabidhi Musa Meram mshindi wa mashindano ya mbio za baiskeli(Vodacom cycle challenge)ngao ya ushindi na pia alijinyakulia shilingi milioni moja na laki mbili(1,200,000)kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro na wapili kutoka kulia Mkurugenzi Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru. Mashindano hayo yameandaliwa na Vodacom Tanzania.


Washiriki wa mbio za beiskeli za vodacom wakichuana vilivyo mkoani Mwanza .
No comments:
Post a Comment