
Meneja wa Vodacom Foundation Yesaya Mwakifulefule akiwa katika mawasiliano na wateja wake wakati alipokuwa katika Vodashop ya Mkoa wa Mtwara.

Mtwara hakujalala jamani kama kawa usafiri wa taxi ukisubiri wateja katika stendi ya mabasi ya mkoa huu wa Mtwara,jamani ni kama ubungo tu ila kiduchu tu mtwara hiyooo karibu na msumbiji

Wafanyakazi wa Kampuni ya Vodacom Branch ya Mtwara wakiwa kazini aliyesimama kutoka kushoto ni Meneja wa Vodashop ya Mtwara Nambuke Kibona, Mapesa Cashier, Christopher Tamiwa, Doris aka Sales Executive na bwana mauzo (aka) Sales Executive Iddy Nassoro wakiwajibika ofisini kwao iliyopo karibu na Soko kuu la Mtwara Mtaa wa Vigayeni. Kwa wateja wa vodacom hasa wale wa M-Pesa hapo ndipo penyewe pia kuna simu za aina mbalimbali za kisasa zinapatikana kwa bei nafuu.

Hapa ni stendi Kuu ya Mtwara karibu na soko kuu.

Wanafunzi wa Sekondari ya wasichana ya Mtwara wakiwa bize na kujifunza Computer 14 zenye thamani ya shilingi Milioni 9.8 baada ya kukabidhiwa msaada huo na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania kupitia kitengo cha Vodacom Foundation Tanzania kitengo hicho kimekuwa kikijihusisha na shughuli mbalimbali za kusaidia jamii kupitia miradi mbalimbali .
1 comment:
longchamp handbags
jordan retro
converse outlet
lebron james shoes
kyrie 3
goyard
golden goose
cheap jordans
supreme
retro jordans
Post a Comment