
Meneja wa Vodashop Mtwara Nambwike Kibona akiwa katika ofisi yake wakati wa kazi leo.

Meneja wa Vodacoshop ya Mtwara Nambwike Kibona akiwaelekeza vijana wake namna ya kutoa huduma kwa wateja kwa kutumia Computer, kutoka kushoto christopher Tamiwa, Doris na Idd Nassoro.

Jengo la Vodashop ni kivutio katika Mtaa wa Vigaeini lililopo eneo ya Soko kuu la Mtwara.

Jengo la Vodashop Mtwara likiuonekana kwa mbele jengo hili limekuwa kivutio kwa wapita njia.

Kwa ndani wafanyakazi wakiwajibika na shughuli za kila siku Vodacom Mtandao unaoongoza Tanzania karibuni wateja wote hasa wale waluiopo Mtwara tupo karibu na Soko Kuu Mtaa wa Vigaeini.
1 comment:
Ila hii ofisi sio kuwa ni nzuri sana, haka ni kabanda mzee wa pwani.
Post a Comment