Dr. Ngalela Kateure anayefanya kazi Bima ya Afya Makao Makuu akimvua shera mkewake Dk Joyce Kimaka wakati walipokuwa wakifunga ndoa katika kanisa la mtakatifu petro osyterbay bibi harusi anayefanya kazi katika Hospitali ya Magomeni manispaa ya Kinondoni.Sherehe yakukata shoka mpini kubakia ilifanyika katika ukumbi wa Msimbazi Center Dar es Salaam.

Hapa ni raha tu kwa kila mtu jamani ndivyo wanavyoonekana maharusi hawa.

Dr. Ngalela Kateure anayefanya kazi Bima ya Afya Makao Makuu akiwa na mkewe Dk Joyce Kimaka anayefanya kazi katika Hospitali ya Magomeni manispaa ya Kinondoni wakiwa na yuso za furaha baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay Dar es Salaamwakiwa wamepozi katika hoteli ya CoraBeach ambapa walikwenda kwa mapumziko kidoga kabla ya kwenda ukumbi wa Msimbazi center kusherehekea.
No comments:
Post a Comment