Dr. Ngalela Kateure anayefanya kazi Bima ya Afya Makao Makuu akiwa na mkewe Dk Joyce Kimaka anayefanya kazi katika Hospitali ya Magomeni manispaa ya Kinondoni wakiwa na yuso za furaha baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay Dar es Salaam,sherehe ilifanyika katika ukumbi wa Msimbazi Center Dar es Salaam.

Dr. Ngalela Kateure anayefanya kazi Bima ya Afya Makao Makuu akiwa na mkewe Dk Joyce Kimaka anayefanya kazi katika Hospitali ya Magomeni manispaa ya Kinondoni wakiwa na yuso za furaha baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay Dar es Salaam,sherehe ilifanyika katika ukumbi wa Msimbazi Center Dar es Salaam wakiwa katika pichan ya pamoja na wanakamati ambao walifanikisha sherehe hiyo.

Dr. Ngalela Kateure anayefanya kazi Bima ya Afya Makao Makuu akiwa na mkewe Dk Joyce Kimaka anayefanya kazi katika Hospitali ya Magomeni manispaa ya Kinondoni wakiwa na yuso za furaha baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay Dar es Salaam,sherehe ilifanyika katika ukumbi wa Msimbazi Center Dar es Salaam.

wazazi wa bwanaharusi na bibi harusi Dr Ngelela na Dr.Joyce wakiwa katika picha ya pamoja katika hoteli ya kifahari ya Corabeach mara baada ya kushuhudia watoto wao waliofunga ndoa katika kanisa la st peter.
No comments:
Post a Comment