Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

September 29, 2009

Warembo Wanaoshiriki Vodacom Miss Tanzania 2009 Watembelea Kisiwa cha Mbudia.

Mmoja wa wadau wa urembo akiwa amembeba mshiriki wa miss vodacom Tanzania.


Meneja masoko wa Vodacom Daniel Kijo akistarehe raha mstarehe wakati walipokuwa katika boti kuelekea katika kisiwa cha Mbudia pamoja na washiriki wa Vodacom Miss Tanzania 2009.
Afisa habari wa Vodacom Matina Nkurlu akitembea katika maji ya kisiwa cha Mbudia wakati walipofanya ziara ya kutembelea huko yeye na washiriki wa Miss Tanzania.

Kutoka kushoto ni mshiliki wa Miss Tanzania toka Kinondoni Aloycia Innocent akiwa na mwenzake katika ufukwe wa Mbudia wakati wa ziara yao.


Huyo jamaa aliye vaa jezi ya Bacelona ndiye yule jamaa mwenye mahela anayetajwa na orijino komedi anaitwa Barnabas Rugisha Tajiri wa Mwanza. Hapa yupo na warembo akila raha ya pwani katika boti iliyowasafirisha kwenye kisiwa hichi cha Mbudia ng'ambo ya Kunduchi Beach Hotel. Jamaa huyu ndiye aliyefanikisha ziara hiyo.

1 comment:

Anonymous said...

Safi sana kupata wadhani kama hawa wakupeleka warembo mbudya.