Kushoto ni kijana aliyeathirika na uokotaji wa chupa chakavu na kuwa kichaa akimwangalia mwenzake ambaye naye anafanya kazi hiyo. Kijana huyo jina linahifadhiwa alikuwa mzima kazi hii imekuwa ikifanywa na watu wengi vijana kwa akina mama ili iweze kuwakithi kimaisha kutokana na vijana wengi kutokuwa na ajira.
Samahani, naomba ufafanuzi:-kuna uhusiano gani kati ya kuokota chupa za maji zilizotumika na mtu kuwa kichaa? Na huyo mama naona anavuta sigala mbili na ya tatu ameishika mkono wa kushoto, hii si hali ya kawaida. Je na yeye ameathirika na hizo chupa ua namna gani?
ReplyDeleteDaah Pwaniraha unaniangusha kaka, hata kama wewe ngwini lakini mbona hahitaji kuwa na degree ya science kujuwa kwamba hakuna correlation kati ya kuokota chupa na kuwa kichaa...! Hiyo kazi ipo ulimwenguni kote, watu wanaongeza vipato vyao kwa njia hiyo, kuanzia Afrika hadi Asia, Ulaya hadi Amerika ya kusini na kaskazini! wahusika wanatofautina rangi na unadhifu wa mavazi tu!
ReplyDeleteDaah Pwaniraha unaniangusha kaka, hata kama wewe ngwini lakini mbona hahitaji kuwa na degree ya science kujuwa kwamba hakuna correlation kati ya kuokota chupa na kuwa kichaa...! Hiyo kazi ipo ulimwenguni kote, watu wanaongeza vipato vyao kwa njia hiyo, kuanzia Afrika hadi Asia, Ulaya hadi Amerika ya kusini na kaskazini! wahusika wanatofautina rangi na unadhifu wa mavazi tu!
ReplyDeletekwa kweli nimeshtuka,watu tunakusanya chupa hapa ulaya unapata mpaka 50 lfu na zaidi kwa siku ,na tunabukua kama kawa halafu leo msema ukichaa.Acha utani ndugu
ReplyDeleteIt is very unfortunate that we need to be spoon fed on everything that happens arround us. yani hivi mnawaona hao pichani ni watu wazima na wenye akili zao. Wewe unayetaja ulaya usijishebedue yani do u want to compare trash collection ya ulaya na ya hapa bongo. Majarara ya bongo na majarara ya ulaya yako sawa. sasa just take a random sample of sane people that do trash collection in Tz as opposed to those who are insane and get ur answer. U dont need to be a rocket scientist to figure this out. Kama mna hasira sana basi kaoteni chupa kina iwe ndio kazi yenu then u prove me wrong. I think pwani raha is right, that is an aspect of life that i have observed and it is true most people who engage in trash collection are insane either from frustration or they end up in the situation because of bad company.
ReplyDeleteIt is very unfortunate that we need to be spoon fed on everything that happens arround us. yani hivi mnawaona hao pichani ni watu wazima na wenye akili zao. Wewe unayetaja ulaya usijishebedue yani do u want to compare trash collection ya ulaya na ya hapa bongo. Majarara ya bongo na majarara ya ulaya yako sawa. sasa just take a random sample of sane people that do trash collection in Tz as opposed to those who are insane and get ur answer. U dont need to be a rocket scientist to figure this out. Kama mna hasira sana basi kaokoteni chupa kisha iwe ndio kazi yenu then u prove me wrong. I think pwani raha is right, that is an aspect of life that i have observed and it is true most people who engage in trash collection are insane either from frustration or they end up in the situation because of bad company.
ReplyDeleteteh teh ,bado sikubali uchizi wao ni kwa ajili ya chupa wanazookota.We anon mbona unagadhabu hivyo,sijaona mtoa comment aliye na hasira kama wewe.Bongo tambarare watu wanasoma unataka waokote trash fo life na degree zao wazifanyie nini.Kaazi kweli kweli
ReplyDeleteinaweza kuwa kweli wengi wao ni machizi.
ReplyDeleteanon anayekubaliana na pwani raha ndio kichaa. wewe unaonga sigara (hatujui nini kimo ndani yake) halafu unasema chupa aliyoiokota ndio inayomletea kichaa.
ReplyDeletefikira mgando hizo.
Very enlightening and beneficial to someone whose been out of the circuit for a long time.
ReplyDelete- Kris
stephen curry shoes
ReplyDeletecoach factory outlet
hermes online
nike air max 97
retro jordans
louboutin
birkin bag
nike shox
nike cortez men
golden goose outlet