Pages

September 18, 2009

Jijini Dar es salaam Leo

Mmoja wa wafanyakazi wa Manispaa ya Ilala akifanya usafi wa kumwagilia maji bustani ya Bismini iliyopo makutano ya barabara ya Samora na Azikiwe, halmashauari ya jiji imeamua kukarabati bustani zote zilizopo katikati ya jiji ili kurudisha mandhari ya zamani, hivyo ni jukumu la kila mwananchi kuyatunza mazingira hayo.

Vitabu hapa bei poa kabisa maana elimu haina mwisho mzee huyo pichani akiangalia vitabu katika mitaa ya Kisutu hivi sasa elimu inatafutwa nan kila mtu vyuo na shule zimejengwa kila sehemu ni juhudi za kila mtanzania kuweza kuapata elimu.

No comments:

Post a Comment