Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

September 18, 2009

Kindumbwendumbwe Cha Ligi Kuu Tanzania Bara.

Hiki ndicho kikosi cha maangamizi cha Wekundu wa Msimbazi kinacho ongoza liki kuu ya Vodacom hukunkikiwazidi watani wao Yanga kwa pointi 7.


kikosi cha Mtibwa Sugar cha mji kasoro bahari Morogoro kiko tayari kuiathiri Yanga katika Uwanja wake wa Manungu. Kikosi cha wanajangwani Dar Yanga African ambacho kitapambana na Mtibwa leo.

Kikosi cha Kagera Sugea ambacho kinaonekana kutoa upinzania lakini kilikubali kichapo cha wekundu wa Msimbazi kwa mabao 2-0.
Kikosi cha Toto Africa mwaka huu kimekuwa nyanya kwa Simba kwa kukubali kipigo cha mabao 3-1 katika mchezo ulipigwa uwanja wa Uhuru pia kikosi hicho kikakubali kipigo kutoka Timu ngeni ya Manyema Rangers kwa kudunguliwa bao 1-0 katika pambano lililofanyika Jumatano katika uwanja wa Uhuru.

No comments: