Pages

September 22, 2009

Jinsi Iddi Ilivyoshehereke Huko Ghuba

Jinsi wakaazi wa Iran wanavyopiga msosi, hapa hakuna kiti au sofa miguu yako ndio sofa, uzoefu muhimu.

Kina mama hutengwa kando na kina baba.

Jinsi watu walivyofurika na kila mtu alikula.

Kila kitu

No comments:

Post a Comment