
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa benki ya KCB Christina Manyenye (kushoto) akimkabidhi Naibu Meya wa manispaa ya Temeke Noel Kipangule(kulia) msaada wa kitanda cha kujifungulia wakina mama (Oximeter Machine Trusale and Operating Table) vyenye thamani ya Shilingi Milioni 7.8 (katikati) Mganga Mkuu wa Hospital ya Temeke Ashura Mahita akishuhudia pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Temeke Dr.Mashambo Makambo.

Wafanyakazi wa benki ya KCB wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutoa mshine ya kisasa katika hospitali ya Temeke.

Wafanyakazi wa KCB wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Manispaa ya Temeke pamoja na Mganga Mkuu wa Temeke baada ya kutoa msaada.

Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa benki ya KCB Christina Manyenye (kushoto) akimuonyesha Naibu Meya wa Manispaa ya Temeke Noel Kipangule moja ya nyaraka zinazoonyesha matumizi ya kitanda hicho. (kulia)Mganga Mkuu wa Hospital ya Temeke Asha Mahita.
No comments:
Post a Comment