Pages

September 4, 2009

Bongo Star Search

Wahiriki wa bongo star seach waendelea kuwapagawisha mashabiki jumapili watakuwa TCC Chang'ombe na kisha kuhamia mji kasoro bahari "Moro".

Ritha Paulsen akiwasili.

Mashabiki wakipandwa na mzuka.

Mzuka.

No comments:

Post a Comment