Mama Salma Kikwete akisakata rusha roho wakati wa uzinduzi wa benki ya wanawake, iliyopo jijini DAR ES SALAAM mtaa wa Salamanda.karibu na posta ya zamani.
Mkurugenzi mkuu wa benki ya wanawake Tanzania Margaret Chacha akisoma hotuba ya maendeleo ya benki hiyo.
Mbunge wa Viti maalum Mchungaji wa kanisa la Assembless of God Mama Rwakatale akicheza mziki wa kidunia (rusha roho) iliyokuiwa ikipigwa na bendi ya TOT .wakati wa uzinduzi wa benki ya wanawake ilipozinduliwa na Rais Kikwete jana, wengine walioshambulia jukwaa hilo ni Mke wa Rais mama Salma Kikwete, Mke wa spika Mama Margaret Sitta (kushoto) Mke wa Rais Mstaafu awamu ya pili mama Mwinyi na Waziri Sophia Simba.
2 comments:
Namwona mama Lwakatare akifanya vitu vyake duh safi sana.
Mimi nasubiri Benki ya wanaume ilikukuza usawa:-)
Post a Comment