
Mama akiwa amebeba begi kichwani huku mkononi akiwa amemshika Jogoo la kuku katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani Ubungo. Kina mama wengi hupata shida wakati wanapokuwa katika safari zao kutokana na kubeba mizigo mingi ambayo ni zawadi.

Nani kasema Ndani ya Kituo cha Mabasi yaebdayo mikoani hakuna wapiga debe, jamaa pichani akipga debe kwa aina yake huku akipuliza firimbi kwa ajili ya kuitia abiria wanao kwenda Dodoma.
No comments:
Post a Comment