Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

August 31, 2009

Mambo ya Pemba

Wakazi wa Pemba wakiwa wamepanga mstari kwa ajili ya kuingia ndani ya Boti ya Mega speed Liners iliyo kuwa imeengesha katika bandari ya Mkoani Pemba,tayari kwa kuelekea Dar es Salaam.(Picha na Albart Jackson).


Wabeba mizigo katika bandari ya Mkoani Pemba, wakiwa wamemzidi ujanja askari wa jeshi la polisi aliyekuwa akiwazuia wasiingie kupakua mizigo ya abiria katika boti ya Mega speed baada ya kuegesha katika bandari hiyo ikitokea Dar es Salaam.(Picha na Albart Jackson)

Siyo kwa kitoewo tu hata kazi unaweza. Kijana ambaye jina lake halikuweza kupatikana Mkazi wa Chake chake Pemba akipita maeneo ya Gombani katika barabara ya Macho Mane akiwa amebebwa na Ng'ombe wakati wa kuhamisha mizigo yake, ng'ombe wa mizigo wamekuwa msaada mkubwa sana kwa wakazi wa eneo hilo.(Picha na Albart Jackson)

No comments: