Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

July 31, 2009

Extra Bongo Mazoezini.

Wanenguaji wa bendi ya Extra Bongo wakiwa mazoezini cocobeachi kwa maandalizi ya uzinduzi wa bendi yao Agosti 21 jijini,kutoka kushoto Halma Ibrahim,Khadija Mohamed,Fani Ramadhani,husna Ramadhani.

Halma Ibrahim na Shabani Ramadhani aka, shedinga . Mazoezi hayo ni yakufa mtu hata Mtibwa na Lyon Africa hawawezi mazoezi kama hayo.
Mkurugenzi wa bendi ya Extra bongo Ali Choki akiwa na wanamuziki wake wakati wa mazoezi yaliyofanyika coco beach kwa ajili ya maandalizi ya kujiandaa na uzinduzi wa bendi yao utakaofanyika Augosti 21 jijini Dar. Picha zaidi.....

Mazoezini kwenye band.
Jogging mdogo mdogo.
Za kichina china huha.