Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

April 8, 2009

THE IRONY OF THE CITY OF DAR ES SALAAM

Dar yetu inazidi kujengwa huku "viberiti" vikizidi kuchomoza. Leo Pwani Raha ilipata fursa ya kupiga picha ya "birds eye view" ya jiji letu.

Katika jiji hili hili kuna sehemu zisizoridhisha kama huku Tandika.

Huku sijui lini maendeleo yatafika.

2 comments:

Cee said...

Hizi picha zanikumbusha Nairobi, yaani ungekosa kutweleza zatoka wapi, ningedhani zatoka nyumbani Nairobi...Maendeleo Afrika huwa kule wakubwa wako...masikini baki tu matopeni...

Simon Kitururu said...

DUH!