Washiriki wa mashindano ya Kili Marathoni wakianza kutimua vumbi katika uwanja wa Ushirika Moshi, mashindano hayo yameandaliwa na kampuni ya bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji cha Kilimanjaro.
(Picha na Albart Jackason).
Washiriki wa mbio za Kili Marathon kwa upande wa walemavu wakichuana vilivyo katika Uwanja wa Ushirika moshi.
Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Benard Membe akikimbia wakati wa mashindano ya Kili Marathon ambayo yamefanyika katika uwanja wa Ushirika Moshi leo, wapili kushoto ni Naibu waziri wa Habari, Michezo na Utamaduni Mh Joel Bendela na Mwenyekiti wa chama cha wachezaji wa zamani nchini Jonas Mwamoto, mashindano hayo yalishirikisha mataifa mbalimbali.
Mshindi wa mbio za Nusu marathoni kwa upande wa wanaume Samwel Kwangu wa Tanzania akishangiia ushindi baada ya kumaliza wa kwanza katika mashindano ya kili Marathon.

Hellen Wanjiku toka Kenya akishangilia ushindi wa mbio za nusu Marathoni baada ya kuibubuka wa kwanza katika mashindano hayo.
No comments:
Post a Comment