
Kanda Bongoman akisalimia mashabik wa Akudo bilicanas.

Kweli huyu ni Kanda Bongoman hata mwanya wake uko vile vile, maana siku hizi hakuaminiki wachina wanatoa vitu feki. Hapa Kanda Bongoman akiwa na Christian Bella kiongozi wa Akudo Impact. Kanda Bongoman atafanya show yake na Akuda Ijuma hii pale Msasani Club.

Star wa Bongo favour Dully Sykes akipozi na Tasisy Masella mwanuziki wa Akudo Impact.

Akudo Impact huwa ipo Bilicanas kila jumatano ikidhaminiwa na Bia ya Serengeti.
No comments:
Post a Comment