Kwa kuangalia exchange rate za leo hebu nikupe dili; chukua milioni mbili za kibongo then nenda nazo Kenya utapata (2,000,000/16.41= Ksh 121,876.90) kisha rudi nazo hizo pesa Tanzania siku hiyo hiyo na uziuze utapa (121,876.90 x 18.66=Tsh 2,274,222.95). Kwahiyo faida yako itakuwa (2,274,222.95-2,000,000= Tsh 274,222). Je ukiwa na Tsh 20,000,000 basi utaweza kupata Tsh 2,742,229.50. kama faida na unaweza kutumia usafiri wa ndege wa kwenda na kurudi bila shida. Gharama USD 350 hakuna kulala unarudi siku hiyo hiyo labda taxi USD 50).
March 3, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Hili dili ni kweli jamani duh
Inawezekana ukipiga mahesabu yako vizuri, lakini hii ni rates za central banks bureau de change ndio utadili nazo sasa margin itapungua kidogo ila kama pesa ni nyingi utapata discount.
Post a Comment